JPM amrejeshea hati ya kiwanja Bibi wa miaka 90
Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli, ameagiza Bi. Elizabeth Sarali mwenye miaka 90, mkazi wa Manyoni mkoani Singida kurudishiwa umiliki wa eneo lake ambalo alipokonywa na kumilikishwa mfanyakazi wa idara ya ardhi.