Mzazi 'amgomea' DC, adai watoto wanachapwa shuleni
Mzazi mmoja mkazi wa kijiji cha Ilanga, kata ya Mlale, iliyopo wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe, amegoma kumpeleka mwanaye kujiunga na kidato cha kwanza akidai kuwa mwanaye hana akili na kwamba watoto wamekuwa wakichapwa tu wanapokuwa shuleni.