Solskjear kukataa unyonge kwa Arsenal Leo?
Washika mitutu wa jiji la London, klabu ya Arsenal watashuka dimbani usiku wa leo tarehe 30 Januari 2021 kukipiga na wapinzani wake wa muda mrefu klabu ya Manchester United mishale ya saa 2:30 usiku kwenye ligi kuu nchini England.