Tuchel na kibarua cha kuiamsha usingizini Chelsea

Kocha mpya wa Chelsea, mjerumani Thomas Tuchel

Kocha mpya wa Chelsea, mjerumani Thomas Tuchel atakiongoza kikosi hicho kwenye mchezo wake wa kwanza dhidi ya Wolves, mchezo wa ligi kuu England katika dimba la Stanford Bridge.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS