Shamba la miti lilivyowapa faida wananchi wa Chato
Leo Januari 27, 2021, Rais Magufuli atazindua shamba la miti lililopo Butengo, Chato Geita, shamba ambalo linaelezwa kuwa mpaka sasa limeshatoa ajira mbalimbali kwa wakazi wa eneo hilo hali iliyopelekea kuongeza uchumi wa mtu mmoja mmoja.