Ozil ajiunga na Fenerbahce, Arsenal yatoa tamko Mesut Ozil Klabu ya soka ya Arsenal imethibitisha mchezaji Mesut Ozil amejiunga na klabu ya Fenerbahce ya Uturuki, ambayo anakipiga Nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta. Read more about Ozil ajiunga na Fenerbahce, Arsenal yatoa tamko