Simba yamrejesha Mkude kundini

Kiungo wa Simba, Jonas Mkude akiwajibika katika moja ya mchezo wa VPL msimu huu.

Kamati ya Nidhamu ya Klabu ya Simba chini ya mwenyekiti wake Suleiman Kova imetangaza hukumu ya kiungo wa klabu hiyo, Jonas Mkude ambaye alisimamishwa na uongozi kwa makosa ya utovu wa nidhamu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS