Arsenal yavuliwa ubingwa wa FA

Mshambuliaji wa Arsenal, Piere Emerick Aubameyang akijaribu kufunga bao bila ya mafanikio.

Klabu ya Arsenal imejikuta ikivuliwa ubingwa wa kombe la FA kwa mshangao baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Southampton, mchezo uliopigwa katika dimba la St Mary's.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS