Serikali yashauri njia bora ya kuzalisha sukari
Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda, amesema kwamba Tanzania bado inauhitaji wa kuagiza sukari kutoka nje ya nchi kiasi cha Tani 40 kwa kuwa bado viwanda vya ndani havijitoshelezi katika uzalishaji wake.