Rais Magufuli atoa tahadhari ya Corona
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari za kiafya kadri zitakavyotolewa na wataalam, huku akieleza kushangazwa na Watanzania walioenda nje kupata chanjo ya Corona hali iliyopelekea wao kurudi na Corona ya ajabu ajabu.