Simba yamsajili mlinzi wa Zimbabwe, Peter Muduhwa!
Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya klabu bingwa barani Afrika, 'Wekundu wa Msimbazi', Simba wamethibitisha kumsajili mlinzi wa kati kutoka klabu ya Highlanders na timu ya taifa ya Zimbabwe Peter Muduhwa kandarasi ya mkopo wa miezi sita.