Kipigo cha stars, makocha wa vilabu walaumiwe
Kufuatia kipigo cha mabao 2-0 walichokipa timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars kwenye michuano ya CHAN dhidi ya timu ya taifa ya Zambia, kocha mzoefu hapa nchini Meja mstaafu, Abdul Mingange ametupa lawama kwa makocha wa vilabu kushindwa kuwaanda wachezaji washindani