Prof Jay akemea matusi na mambo ya kitandani Prof Jay na Stamina Baada ya kuachia ngoma yao mpya inayoitwa BABA ambayo ni collabo ya Stamina na Profesa Jay wakimshirikisha One Six, sasa Profesa ameeleza darasa walilotoa kwenye kiwanda cha muziki bongo. Read more about Prof Jay akemea matusi na mambo ya kitandani