Spurs kuwakosa nyota watatu dhidi ya Wycombe leo

Mlinzi wa kulia wa Spurs, Sergie Aurier (kushoto) akishangilia bao na Delle Ali (kushoto).

‘Masharobaro wa jiji la London’, Klabu ya Tottenham Hotspurs huenda ikawakosa nyota wake watatu kwenye mchezo wa mzunguko wa nne wa kombe la FA nchini Uingereza watakaocheza dhidi ya Wycombe Wanderers saa 4:45 usiku wa leo tarehe 25 Januari 2021.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS