Serikali kugawa saruji kila Kata
Halmashauri ya wilaya ya Geita, imetenga bajeti ya shilingi bilioni 78, kwa mwaka wa fedha 2021/2022, huku ikija na mpango wa kugawa saruji kila Kata, ambazo zitatumika katika uanzishaji wa ujenzi wa vyumba vya madarasa na zahanati.