Cristiano Ronaldo sasa ni namba moja duniani
Cristiano Ronaldo ameweka rekodi ya kuwa kinara wa ufungaji mabao kwenye historia ya mpira wa miguu duniani, amefikisha magoli 760, baada ya kufunga kwenye mchezo wa fainali ya Italia Super Cup dhidi ya Napoli, mchezo ambao Juventus wameshinda kwa mabao 2-1.