Nyoni, Bocco nje, taifa stars ikiivaa Namibia leo

Taifa stars itaendelea kuikosa huduma ya wachezaji wake wakongwe na wazoefu John Bocco na Erasto Nyoni kwenye mchezo dhidi ya Namibia kutokana na majeruhi

Timu ya taifa ya Tanzania ‘taifa stars’ itaendelea kuwakosa nyota wake John Bocco,Ibrahim Amen na Erasto nyoni walioripotiwa kuwa majeruhi, wakati ikitarajiwa kutupa karata yake ya pili kwenye michuano ya CHAN mchezo wa kundi D leo usiku dhidi ya timu ya taifa ya Namibia, utakaochezwa Saa

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS