Bocco, Ame warejea, Taifa stars kuvuka makundi
Licha ya timu ya taifa ya Tanzania taifa stars kuanza vibaya kwenye michuano ya CHAN, lakini mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa TFF Cliford Ndimbo amesema malengo ya kikosi hicho ni kuhakikisha inavuka hatua ya makundi na kutinga hatua inayofata.