Maamuzi ya Maalim ni maamuzi ya kishujaa- Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli amempongeza Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Hamad kwa maaamuzi yake aliyoyafanya yakuungana na serikali ya umoja wa kitaifa.