Rais Magufuli aizungumzia Corona
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewataka Watanzania kuendelea kumtukuza na kumshukuru Mungu kwa Baraka zake kwa Taifa kutokana na kuliepushia janga la Corona ilihali ugonjwa huo ukiendelea kusababisha vifo vya maelfu ya watu katika nchi nyingine Duniani.