Magufuli aelezea alivyomfahamu mbunge aliyefariki
Rais Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia, ndugu na Spika wa Bunge, Job Ndugai, kufuatia kifo cha aliyekuwa mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Manyara kupitia CCM Martha Umbula, na kusema kuwa marehemu alikuwa mpole, mchapakazi na mpenda maendeleo.