Simba Yanga shughuli pevu nusu fainali Mapinduzi Wachezaji wa Simba SC na Namungo FC Nusu fainali mbili za Kombe la Mapinduzi, zinachezwa leo Jumatatu Januari 11, 2021, katika uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar, ambapo michezo yote miwili ya hatua hii itapigwa. Read more about Simba Yanga shughuli pevu nusu fainali Mapinduzi