Uganda yafunga baadhi ya mitandao ya kijamii

Nembo za mitandao mbalimbali ya kijamii

Uganda imeagiza watoaji huduma za mtandao kufunga mitandao yote ya kijamii na programu za kutuma ujumbe kufikia Jumanne hadi wakati usiojulikana, kwa mujibu wa barua kutoka kwa mdhibiti wa mawasiliano nchini humo iliyonukuliwa na shirika la habari la Reuters.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS