Undani wa mkataba mpya wa Chama na Simba SC Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba C Mohammed Dewji (kushoto), Clatous Chama (katikati) na Barbara Gonzalez (kulia). Klabu ya Simba SC imethibitisha nyota wake Clatous Chama kuwa amesaini mkataba mpya wa kuendelea kukipiga msimbazi. Read more about Undani wa mkataba mpya wa Chama na Simba SC