"Milioni 35 kwangu ni kitu cha kawaida" - Pili
Ni mbwembwe za producer na mchekeshaji Pili Kitimtim ambaye amesema hategemei pesa za mwanaume ili kuendesha maisha yake, kama ni gari yenye thamani ya Milioni 35 hata yeye anaweza kununua na ni kitu cha kawaida kwake.