TANESCO watupa lawama kwa Kunguru

Meneja Uhusiano wa TANESCO Johari Kachwamba

Meneja Uhusiano wa TANESCO Johari Kachwamba, amesema kuwa uwepo wa Kunguru ndiyo chanzo kikubwa cha umeme kukatika mara kwa mara katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kwani Kunguru hao wanachangia kuharibu miundombinu hususani nyaya za umeme.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS