Kagera Sugar wameshinda mchezo 1, kwenye michezo 5 ya mwisho waliocheza dhidi ya JKT Tanzania.
Michezo miwili ya ligi kuu soka Tanznaia bara raundi ya 18 itachezwa leo Januari 1, 2020, katika viwanja viwili tofauti, mkoani Shinyanga na Jijini Dodoma.