Wasanii watatu waliopendeza zaidi 2020 Tanzania
Mtangazaji wa kipindi cha Nirvana ya East Africa TV, Host wa Miss Tanzania na mkali wa 'fashion' Tanzania Deogratius Kithama amemtaja Nedy Music, Ice Boy na Lulu Diva ni baadhi ya wasanii ambao wamepndeza zaidi mwaka 2020.