Serikali kuweka mazingira wezeshi kwa wabunifu Dkt. Faustine Ndugulile, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile, amesema kuwa Serikali itaweka mazingira wezeshi ya kuendeleza vijana wabunifu wa TEHAMA nchini. Read more about Serikali kuweka mazingira wezeshi kwa wabunifu