"Mwana Fa na Babu tale wasitutie aibu" - Dullah
Rais wa BongoFleva Dullah Planet amewaomba Wabunge ambao wametoka kwenye kiwanda cha muziki wa BongoFleva mpaka mjengoni Dodoma, Mwana Fa na Babu Tale kwamba wasitie aibu kwenye shughuli zao za kuwatetea wananchi na sanaa kwa ujumla.