Magufuli aagiza TRA iwashughulie wezi wa aina hii

Rais Dkt John Pombe Magufuli (katikati)

Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, amekemea suala la wananchi kununua bidhaa bila kupewa risiti huku pia akiiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS