Mngereza aagwa Karimjee Dar es salaam
Viongozi mbalimbali wa kitaifa wakiongozwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa, wameungana na waombolezaji wengine kuanga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) Godfrey Mngereza.