Ratiba ya mazishi ya Godfrey Mngereza wa BASATA

Jeneza lililobeba mwili wa Godfrey Mngereza ukiwa nyumbani kwake Kibamba

Mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) Godfrey Mngereza umewasili leo katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere International Airport, ukitoka Jijini Dodoma na kufikishwa nyumbani kwake Kibamba, Luguruni Dar Es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS