Mauricio Pochetino aliichezea PSG kati ya mwaka 2000-2003, na sasa anatajwa kuwa amesaini mkataba wakuwa kocha wa klabu hiyo
Mauricio Pochettino ameripotiwa kusaini mkataba wa kuwa kocha mpya wa Paris Saint-Germain (PSG), bosi huyo wa zamani wa Tottenham, alisaini mkataba huo jana Jumapili.