COVID-19 kughairisha michezo ya EPL
Michezo miwili ya ligi kuu nchini England ipo kwenye hati hati ya kughairishwa, kwasababu maambukizi ya ugonjwa wa korona nchini humo yamezidi kushika kasi na kufikia visa 18, ambavyo ni vingi zaidi kuripotiwa ndani ya siku moja.