MAHIGA: Jina lenye hekima zinazoishi
Alfajiri ya Mei 1, 2020, Tanzania iliondokewa na mwanadiplomasia nguli na aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Augustine Mahiga, taarifa za kifo chake zilitangazwa na Rais Dkt. John Magufuli, ambapo alieleza kuwa Tanzania imepata pigo kubwa.