Rais Mwinyi kuunda Tume ya Uchunguzi kwenye hili
Baada ya Jengo la ghorofa linalo fahamika kama House of Wonders (Bait al- Ajaib) lililopo Stone Town, Zanzibar kuanguka wiki iliyopita na kusababisha vifo kwaa baadhi ya watu, Rais Dkt. Hussein Mwinyi ameahidi kuunda tume ya uchunguzi wa tukio hilo.