Jiji la London kuunguruma, Arsenal vs Chelsea
Msimu huu wa siku kuu kunogeshwa zaidi na michezo ya EPL. Kumekuwa na utamaduni wa muda mrefu kwenye msimamo wa EPL, timu inayokuwa kileleni wakati wa sikukuu mara nyingi huwa na nafasi kubwa ya kuibuka vinara wa msimu.