Kilichowaponza Singida United chawekwa wazi
Kocha wa Singida United Edwin Agayi amesema hali mbaya ya kiuchumi ndio sababu iliyopelekea timu hiyo kushushwa daraja, timu hiyo imeshushwa madaraja mawili baada ya kushindwa kufika uwanjani, kwenye mchezo wa ligi daraja la kwanza dhidi ya Alliance.