Aiba mtoto ili kuokoa ndoa yake
Lilian Stanley (36) mkazi wa Tumbaku, Kata ya Kiwanja cha Ndege, Manispaa ya Morogoro, anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa tuhuma ya wizi wa mtoto wa mwezi mmoja katika kanisa la Ufufuo na Uzima ililopo kata ya Mkundi.