"Mimi sio binaadam wa kawaida" - Kala Jeremiah

Msanii Kala Jeremiah

Msanii wa HipHop na Mwanaharakati za kijamii Kala Jeremiah ametoa kali ya mwaka kwa kusema kuna muda hudhani kama yeye sio binaadam wa kawaida kwa sababu ya maono aliyokuwa nayo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS