"Kuku amenivunja mguu ndotoni" - Hussein Jumbe

Msanii wa muziki wa Dansi Hussein Jumbe

Msanii wa muda mrefu hapa nchini wa Tanzania, Hussein Jumbe amefunguka kusema madhara aliyopata hadi kuvunjika mguu yametokana akiwa ndotoni ambapo ameota alikuwa anapigana na kuku.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS