Walimu waahidiwa kutengenezewa mazingira

Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo.

Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, amesema kuwa serikali inafanya kazi kubwa ya kutengeneza mazingira wezeshi kwa walimu huku lengo likiwa ni la kupunguza idadi ya watu wasio na elimu nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS