Timo Werner ashangazwa na Premier League
Mshambuliaji wa Chelsea Timo Werner amesema kuwa ligi kuu ya England ni ngumu kuliko alivyootegemea, lakini anaamini karibu ataonyesha makali yake. Mshambuliaji huyo alijiunga na Chelsea mwanzoni mwa msimu huu akitokea RB Leipzing ya Ujerumani.