Maamuzi ya TFF kwa Elly Sassi, Simba SC vs KMC Mwamuzi Elly Sassi (kushoto) na Singida United (kulia) Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa ligi ya Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) kupitia kikao chake cha tarehe 20 Disemba mwaka huu, imepitia baadhi ya matukio ya Ligi na kufanya maamuzi yafuatayo. Read more about Maamuzi ya TFF kwa Elly Sassi, Simba SC vs KMC