JPM aeleza kitu ambacho si dhambi kwa watumishi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli, amewataka watumishi wote isipokuwa wale waliozuiliwa na Waziri Mkuu, kuwa wanapaswa kwenda likizo ya sikukuu za Christmass na Mwaka Mpya kwa ajili ya kufurahia pamoja na ndugu na familia zao kwa ujumla.