Msanii na Mbunge wa Muheza Mwana Fa, na cover ya Album ya Darassa
Mbunge wa Jimbo la Muheza na msanii wa HipHop Mwana Fa, amesema kutokana na ratiba na majukumu yake kuwa mengi nusu ya mwaka 2020 ndiyo imemfanya kukosa Album ya Darassa 'Slave Become A King'