Salah amemtakia kila la kheri Luis Diaz Ukiachana na uzi mpya wa msimu wa 2025/26, staa wa Liverpool Mohamed Salah ametumia ukurasa wake wa Instagram kumuaga rasmi mchezaji mwenzake Luis Díaz, ambaye kwa sasa ametimkia Bayern Munich. Read more about Salah amemtakia kila la kheri Luis Diaz