Rais Magufuli afanya uteuzi tena
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzabnia, Dkt. John Magufuli, amemteua Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi, Jaji wa Mahakama ya Rufani kuwa Kamishna wa Maadili, akichukua nafasi ya Jaji Mstaafu Harold Nsekela aliyefariki dunia.