Msanii wa filamu Shamsa Ford na Chiddi Mapenzi kwenye harusi yao mwaka 2016
Muigizaji na mfanyabiashara Shamsa Ford amemuandikia ujumbe mzito aliyekuwa mume wake Chidi Mapenzi kwa kumwambia amemsamehe, hana kinyongo naye na hata mmoja wapo akifariki watazikana.